HATIMAE MAANDALIZI YA MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAKAMILIKA TAYARI KWA KUFUNGULIWA KESHO 3/8.2011
 |
Jengo la Veta likiwa limeshakamilika |
 |
Vodacom wakimalizia jukwaa la maonyesho mbali mbali ya bidhaa zao |
 |
CRDB wakiwa wameshakamilisha bada lao |
 |
Chuo cha computer ZooM wakiwa katika hatua za mwisho tayari kwa maonyesho kesho |
 |
Jengo la halmashauri ya jiji la Mbeya katika hatua za mwisho |
 |
Nao akina dada hawapo nyuma kujiandaa kwa maonyesho hapo wakisukana nywele uwanjani hapo chanzo Mbeya yetu blog
|
"