Envaya
Indaba Africa
SAKATA LA KUGOMBEA MAFUTA DAR
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza.
Hariri tafsiri
SAKATA LA KUGOMBEA MAFUTA DAR
Malori yakiwa yamepanga foleni tayari kuingia kujazwa mafuta katika matanki ya Kampuni ya Camel, eneo la Kurasini, Dar es Salaam jana. Camel ni miongoni mwa kampuni za mafuta zilizoamriwa na Serikali kuacha mgomo na kuanza kuuza mafuta ama sivyo ingechuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo ya kufutiwa leseni.
Askari wakituliza vurugu za kugombea mafuta eneo la Vetinari, Temeke, Dar
"
10 Agosti, 2011 kupitia dtwevetz.blogspot.com
« Iliyotangulia
Ifuatayo »
Ongeza maoni
Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.