Envaya

Indaba Africa

Christina Shusho,A.Y,Msondo Ngoma Wafunika East Africa Music Awards

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Christina Shusho,A.Y,Msondo Ngoma Wafunika East Africa Music Awards


AY+award.jpg
Mzee wa Komesho Msaniiiii A.Y kutoka Nchini Tanzania (katikati)akiwa amaehsikilia tuzo yake yake ya East Afrika Music Awards.Kulia ni mtangazaji Mahiri wa Clouds Radio B12
Gospel.jpg
Mwimbaji wa nyinbo za injili Chrotina Shusho akiwana Tuzo Yake
msondo.jpg
Mwakilishi wa Bendi ya Msondo Ngoma akionyesha tuzo walionyakua kwenye Best Rhumba Group katika East Africa Music Awards mashindano yariyofanyika Nairobi Kenya na kukusanyika kwa bendi za Afrika Mashariki na bendi ya msondo kuibuka Kidedea katika mashindano hayo akisibitisha ushindi uho meneja wa bendi Saidi KIbiriti.Picha na Habari na Dada Sauda Kilumanga


kzza4aKdyRg
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.