MATUNDA PORI YANAYOAMINIKA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Matunda pori yajulikanayo kama Matowo (kwa kibena, kihehe, kikinga, kisangu na kiwanji) yakishambuliwa na wadau wa mpango wa kuongeza familia kama walivyokutwa na kamera yetu barabara ya Mbeya -Makambako juzi.