Fungua
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

NANE NANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI-VYAKULA BWERERE

bUSTANIJIKO.jpg
Mboga mboga zilizopandwa katika eneo dogo nyumbani

ngano.jpg
Ngano kwaajili ya chakula, hii kitu muhimu sana katika kutengeneza ubongo wa mtoto wenye akili (majeneous).

shayiri2.jpg
Hii ni Shayiri kwaajili ya Ulabu

MABOGA.jpg
Biashara ya Maboga kutoka Rukwa

MABOO.jpg

soya.jpg
Soya za Uyole kituo cha Utafiti

viazi.jpg
Nofani kwa kiwanji! Viazi mviringo chakula cha wakinga!

maharage+dawa.jpg
Namna ya kutibu magonjwa kwa njia za asili kwenye maharagwe

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.