Parts of this page are in Swahili. Edit translations
MSHINDI WA BIG BROTHER REVOLUTION(KEVIN) NA SHEMEJI YETU KWA DADA YETU ELIZABETH GUPTA HATIMAE NDOA YAO IMEJIBU....wapata mtoto
Blog hii na mimi mwenyewe nawapa hongera za dhati Elizabeth Gupta na mmewe Kevin Chuwang Pam kwa kupata mtoto wao wa kike kwa jina ni Baby malaika savannah Chuwang Pam.
Kevin &Elizabeth Gupta(Mr&Mrs)
Kevin akiwa kambeba mwanae kwa furaha....congratulation my friend.......Kevin the great ahhahahh.