Envaya

Indaba Africa

Mazishi Ya Aliyekua Mbunge Wa Arumeru(CCM)Jeremia Sumari

Mazishi Ya Aliyekua Mbunge Wa Arumeru(CCM)Jeremia Sumari

IMG_0012.JPG
Wananchi wa Arumeru kwa kushirikiana na vijana wa UVCCM taifa wakiufukia mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru mashariki Mhe. Jeremia Sumari wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha Leo. (KWA HISANI YA BLOG YA HAKI NGOWI)
IMG_0023.JPG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari baada ya mazishi yaliyofanyika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha Leo
IMG_0117.JPG
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari kabla ya kwenda kuzika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha. Nyuma ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Spika mtaafu wa Bunge Mhe. Pius Msekwa
IMG_0123.JPG
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari kabla ya kwenda kuzika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha Leo
IMG_0024.JPG
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari baada ya mazishi yaliyofanyika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha Leo
IMG_0145.JPG
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimfariji mke wa Marehemu Mweshimiwa Jeremia Sumari, Bi. Miriam Sumari kabla ya mazishi ya marehumu sumari kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha Leo.Picha Zote na Owen Daudi
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.