Envaya

Indaba Africa

MAONYESHO YA TANZANIA NCHINI CANADA YAVUTIA WENGI

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

MAONYESHO YA TANZANIA NCHINI CANADA YAVUTIA WENGI

Chakula cha watanzania chawavutia wengi Canada kazi nzuri ya mdau Ruth katika kuitangaza nchi yetu katika maonyesho hayo
Wadau wakifurahia chakula na banda la Tanzania katika maonyesho nchini Canada
Mdau Ruth mtanzania ambaye ameendelea kuitangaza vema Tanzania nchini Canada
Wiki hii tulikuwana maonyesho ya Heritage Days ndani ya jiji la Edmonton Canada. Heritage Days ni maonyesho wakati kila nchi wanapewa kibanda na wanaonyesha vifaa na vyakula vya nchi zao. Mwaka huu Watanzania waliorganize kibanda na kwa kweli ilipendeza sana.
"
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.