MAONYESHO YA TANZANIA NCHINI CANADA YAVUTIA WENGI

Chakula cha watanzania chawavutia wengi Canada kazi nzuri ya mdau Ruth katika kuitangaza nchi yetu katika maonyesho hayo

Wadau wakifurahia chakula na banda la Tanzania katika maonyesho nchini Canada

Mdau Ruth mtanzania ambaye ameendelea kuitangaza vema Tanzania nchini Canada

Wiki hii tulikuwana maonyesho ya Heritage Days ndani ya jiji la
Edmonton Canada. Heritage Days ni maonyesho wakati kila nchi wanapewa kibanda na wanaonyesha vifaa na vyakula vya nchi zao. Mwaka huu Watanzania waliorganize kibanda na kwa kweli ilipendeza sana.
"