Envaya

Indaba Africa

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA MIPANGO PROF ZILIHONA ATEMBELEA KAMBINI WANAKOFANYA MAZOEZI KWA VITENDO WANAFUNZI WA STASHAHADA YAUZAM

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA MIPANGO PROF ZILIHONA ATEMBELEA KAMBINI WANAKOFANYA MAZOEZI KWA VITENDO WANAFUNZI WA STASHAHADA YAUZAM

IMG_1364.JPG
Makamu Mkuu wa chuo cha Mipango Dodoma Prof. Zilihona Inocent (mwenye nguo nyeusi na mistari) akiwa kwenye picha ya pamoja na wanchuo wa chuo cha Mipango kozi za statashahada ya uzamili katika mipango ya maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Usimamizi wa Miradi, Utawala Bora na Mipango ya Maingira waliopiga kambi katika kijiji cha Wami Dakawa kuandaa mpango wa  uwiano wa maendeleo (INTEGRATED DEVELOPMENT PLAN)
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.