Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
MAADHIMISHO YA SIKU YA MLIPA KODI YAFANA JIJINI MBEYA
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia baadhi ya wafanyabiashara na watumishi mbali mbali waliyohudhuria siku ya maadhimisho ya mlipakodi yaliyofanyika katika viwanja vya soko kuu mwanjelwa |
Kaimu meneja wa TRA mkoa wa mbeya bwana Mukama akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya |
Mwenyekiti wa wafanya biashara mkoa wa mbeya Mzava akisoma risala ya wafanyabiashara wa mkoa wa mbeya |
Baadhi ya wafanyabiashara na watumishi wa TRA wakimsikiliza mkuu wa mkoa mbeya |
Wafanyabiashara ndogondogo AKA WAJASIRIAMALI WA KATI wakimsililiza mkuu wa mkoa mbeya KUTOKA MBEYA YETU BLOG |