Envaya

Indaba Africa

Kasheshe ya FUNZA kanda ya Magharibi

Kasheshe ya FUNZA kanda ya Magharibi

Binamu yangu karudi huku majuu kama wiki mbili zilizopita kutoka huko nyumbani, katika yote aliyoleta ni hii kasheshe ya Funza za miguu. Ingawa miguu yake haikuharibika kama inavyoonekana kwenye picha, lakini imemchukua muda kurudi kazini kutoka na kuvimba vidole vya miguu. Kwa kweli nilikuwa nimeishasahau hayo maradhi. Natoa pole sana kwa wananchi ambao bado wanasumbuliwa na hili tatizo. kwa kingereza inaitwa tungapenetrant!! funza bwana inaharibu hata mwendo na kuleta mikogo ya ajabu ajabu tena kwa step!!! pale morogoro undambani wanaita vidonda vya miiba!!!
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.