Log in
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

IRINGA KWA NJINSI WANAVYOJITUPIA NGONO SIJUI ITAKUWAJE

SDC10500.JPG
Sura ya Iringa jioni ya leo

SDC10497.JPG
Bado ni Iringa hapa jioni hii

SDC10488.JPG
Hii ni shughuli iliyofanyika mchana huu kwenye moja ya Guest House nilikolala nimekutana na hali hii kwenye dust bin , tunashukuru hawa ndiyo waliojali, je hawa wanaokwenda nyama kwa peku inakuwavipi katika maambukizi mapya? je mikakati maalumu ya kukabiliana na maambukizi Iringa inatekelezeka?

« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.