GARI YA MH. DIWANI KATA YA SISIMBA MBEYA LAANGUKIWA NA MTI
Gari ya mheshimiwa diwani Geofrey Kajigili wa kata ya sisimba jijini mbeya likiwa limeangukiwa na mti ulioangushwa na mvua ilioambatana na upepo mkali |
Mh. diwani Kajigili anaeongea na simu akiwa na mzee shariff na majirani wengine waliokuja mpa pole |