Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
SAFARI YA MWISHO YA MAMA HOSEA CHEYO
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA HOSEA WAKISHIRIKI KUUAGA MWILI WA MAMA YAKE BI.HANNA KAMINYOGE(75)ANAYESAFIRISHWA KUELEKEA IHANDA MBOZI KWA MAZISHI SIKU YA KESHO...MUNGU AILAZE ROHO YA MAMA YETU KIPENZI...ameen