Tunashukuru kwa kz nzur ya barabara lakin hawa wazungu wa hapa chpaka wako taratbu sana
25 Mei, 2012
Peter kasambala (Tunduma) alisema:
Harafu hawako makni sana wanaibiwa mno hasa mafuta halafu walisha ibiwa gar ndogo had mara 3 lkn wanafankiwa kuzikamata 2naomba wawe makn ili wa2malizie barabara ye2.
Maoni (2)