Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Sakala la Multiple choice: Chama cha Hisabati Tanzania kimeomba wabunge waishauri serikali kuacha kutunga... http://t.co/15edfkwd
Mwalimu wa Mwalimu Nyerere afariki dunia. Ni James Irenge aliyemfundisha Mwalimu Nyerere katika shule ya msingi... http://t.co/U2InEVMG
@imangadaya22 Tulikuwa na zoezi la kuhakikisha wanachama hai kwani wengine wamebadili anuani au kuhama tuma jina laki na anuani yako ya sasa