Hakuna tofauti kubwa kati ya bajeti ya mwaka jana na ya mwaka huu -Gratian Mkoba #bajetielimu
MMEMII imeisha mwaka jana na mwaka huu tuko kwenye mchakato wa kuandaa MMEMIII je ni mpango upi utakaotumika mwaka huu #bajetielimu
Bajeti haijonyesha nia ya dhati ya kuwaendeleza walimu walioko kazini walimu 2000 tu ndio watakaoenda masomoni tuna walimu wangapi nchini?
Mtoto mwenye uwezo wa kumudu lugha ya kigeni ni yule aliyemudu lugha yake vema sasa hatuwezi hata kiswahili vema kwa nini tunarukia kizungu
Wanafunzi wanarithi kiingereza kibovu wanachofundishwa na walimunwao matokeo hawajui kiswahili kiingereza na lugha yao ya asili #bajetielimu
Suala la lugha ya kufundishia halijazungumzia hata tukiwa na walimu vitabu maabara na lugha inayotumika haieleweki ni bur - Dr Martha Qorro
Waziri ameshindwa kabisa kuzungumzia migomo ya elimu ya juu {vyuo vikuu} inayosababishwa na HELSB #bajetielim
Mafanikio mengine kama tulivyotarajia ni ongezeko la idadi hongera lakini ubora je? #bajetielimu
@RNMsuya please follow #bajetielimu you will get hints we thought you were following pole na majukumu
