Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
UTUMISHI WA UMMA KATIKA SAKATA LINGINE: Walimu waipa serikali siku 14 kutekeleza madai yao kwa asilimia 100... http://t.co/Af8LoY9Q
Maoni (0)
Muwe na moyo wa huruma na upendo na msaada kwa wagonjwa kama kiapo chenu kinavyowataka - JK
@lilianruga @Udadisi Wanaotaka kiasi kilichopo wabaki wasiotaka waende huko watakapopewa kiasi wanachotaka- JK
@MariaSTsehai @Irenei2011 Hiyo kali kwa hiyo tunaangalia edited version hahahaha kaka mkuu atakuwa aliambiwa action , cut , one two three
Mabilioni ya fedha yamerudishwa nchini kutokana na fedha zetu zilizotumika kisivyo halali kununulia rada, fedha... http://t.co/zXEtp2yp
Hili Tulilipigia kelele sana katika kampeni zetu za uwazi na uwajibikaji serikalini ! Kilichobakia wananchi ni... http://t.co/1MR1YaqB