Matukio ya Mgomo wa Walimu Nchini katika Video
|
Pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Gongoni mkoani Tabora wakiwa darasani bila mwalimu wakicheza na kurukaruka walipotembelewa asubuhi leo na mwanahabari wa HakiElimu |
From:
Haki Elimu
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
| Time: 00:15 | More in Nonprofits & Activism |
@lilianruga Hapana mdau kunani tunduma/mbozi tujuze pia tembelea facebook page yetu kuona hali ilivyo sehemu nyinginezo nchini ! tujuze
Walimu na wadau wa elimu kona zote nchini tupeni taarifa ya mgomo wa walimu katika maeneo mliyopo ! Mfano hapa... http://t.co/gUhb86TG
Mgomo wa walimu uko pale pale,“Walimu wataanza mgomo rasmi Jumatatu (kesho), kwa kubaki nyumbani bila ya kwenda... http://t.co/iTPkv7aT
Breaking News: Serikali yatoa tamko dhidi ya jaribio la walimu la kutaka kugoma, yasema mgomo huo sio halali... http://t.co/XFLulHim
@godnyam Tupo pamoja kaka pia shukrani za kipekee kwa rafiki wetu muhimu @RNMsuya bila kumsahau @justpendo mjadala ulikuwa poa #OkoaElimu
Kama walishindwa kuwasikililiza madaktari wanaoshikilia uhai wa wananchi je watawasikiliza walimu wanaojenga taifa la kesho? #OkoaElimu

