Envaya

Envaya

Start Page

Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka Kiingereza kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko.

Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya.

Kwa kutumia akaunti yako ya Envaya unaweza kujaza taarifa za utafiti huu mara njingi iwezekanavyo ikiwa na taarifa utakazo zijaza kutokana na maelezo ya jamii yako na wahanga wa janga hili. Ili kusoma maoni na mapendekezo ya Envaya kuhusu jinsi ya kufanya utafitibonyeza hapa.
  

Error: Envaya Reports is not supported on this device. Please visit /r/92167 on a computer with internet access.

If you are already using a computer with internet access, please ensure that JavaScript is enabled.