Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Time Submitted: 30 Mutarama, 2012 at 18:40 EAT
bughudadi chini
tunahitaji chakula na pesa
kiukweli vitu vyetu vyote vimeharibika sana
maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu
kwa kweli hatuna maji kabisa
Before flooding: kawaida Now: kawaida
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report