Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: UVIKITWE GROUP
Time Submitted: 31 Januari, 2012 18:49 EAT
Kizinga- Mbagala
Kujenga upya miundombinu muhimu, ili kurejesha mawasiliano.
Nyumba imebomoka na mafuriko,vitu vyote vya ndani vimechukuliwa na maji,sare za shule za wanafunzi zimesombwa na maji, nguo zimechukuliwa na maji.
Maisha yamekuwa magumu, kwa kukosa miundombinu na vyanzo vya mapato, kwa kukosa mitaji ya kuanzia maisha upya.
Maji yanayotumika ni machafu kwani mabomba yamapasuliwa na mafuriko.
Kabla ya mafuriko: 5 mntsSasa: 15. mnts
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti