Respondent: | Promotion of Education Link Organisation (PELO) |
---|---|
Time Submitted: | 29 Januari, 2012 23:33 EAT |
Mtaa:Msimbazi bondeni
Inahitajika nguvu ya pamoja kushinikiza serikali kumwondo Yule mfanyabiashara aliyezungusha ukuta eneo la Kigogo sambusa ili mvua za wakati mwingine,maji yake yasizuiliwe na ukuta yakarudia kuingia kwenye nyumba za watu na kusababisha mafuriko.
Vitu vyangu imekuwa ni hasara tupu.Vitu vilivyookoka baada ya mafuriko nimelazimika kuviuza ili nipate hela ya angalau kodi ya chumba kimoja kisicho na umeme.
Nimerudi kwenye maisha ya ufukara.
sijafuatilia
Kabla ya mafuriko: Saa 1 | Sasa: Saa 1.30 |
(Hakuna jibu)
« Rudi nyuma kwenye ripoti