Respondent: | Promotion of Education Link Organisation (PELO) |
---|---|
Time Submitted: | January 29, 2012 at 9:47 PM EAT |
mabibo bondeni
Maji ya bomba katika eneo la mabibo si ya uhakika.Pia wadau wa mazingira watusaidie katika eneo la mto huu unaopita mabibo ambao kingo zake zimekumbwa na mmomonyoko wa udongo uliosababishwa na mafuriko na kuzisogelea nyumba zetu ambazo ziko kwenye tishio la kubomoka kama si kusombwa na maji yatokanayo na mvua zijazo.
Nilikuwa na banda la mifugo limesombwa na maji pamoja na mifugo.
Mifugo yangu ambayo niliitegemea kwa kipato imesombwa na maji na mimi ni mstaafu sina shughuli sasa ya kuniingizia kipato.
Kulikuwa na shida kubwa ya maji ya bomba kipindi kile cha mafuriko lakini hali imerudi kama kawaida.
Before flooding: (No Response) | Now: (No Response) |
(No Response)
« Back to report