Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F)
Time Submitted: 27 Januari, 2012 09:08 EAT
Tabata kisikuru (maji chumvi)
Tabata kisukuru
Familia nyingi hazina vitu vya ndani ka magodoro, vyombo vya kupikia, ndoo za kuhifadhia maji safi na kadhalika
VYombo ka magodoro , vitanda ,nguo zimebebwa na mafuriko
maji tunapata kwa shida sana na vyombo vya kuhifadhia maji hatuna
Kabla ya mafuriko: hakunaSasa: (Hakuna jibu)
mzee huyu akiwa bado anaendelea na ukarabati huku nyumba ikiwa iko chini anakusanya matofali ili aanze ujenzi upya.
hapa hata choo pamoja na bafu hakuna uwezekano wa familia hizi kupata magonjwa ya mlipuko ni mkubwa
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti