Respondent: | NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F) |
---|---|
Time Submitted: | 27 Januari, 2012 09:03 EAT |
Tabata Kisukuru (Maji Chumvi)
Miundo mbinu
Jamani sina hata kitu kimoja vyote vimeenda na maji
Maisha yamebadilika kabisa sina muelekeo
Havipo
Kabla ya mafuriko: 30 | Sasa: 120 |
« Rudi nyuma kwenye ripoti