Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F)
Time Submitted: January 27, 2012 at 8:56 AM EAT
Tabata Kisukuru (Maji chumvi)
Barabara
Vitu vyote na nyumba yangu imebebwa na maji
Barabara ni shida na maisha ni magumu sana
Havipo
Before flooding: 20Now: 60
Hapa kulikuwa na nyumba imekwenda na maji
Tatizo ni kubwa twendeni tukaone tabata kisukuru wamesahaulika
« Previous responseNext response »

« Back to report