Respondent: | NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F) |
---|---|
Time Submitted: | 27 Januari, 2012 08:51 EAT |
Tabata Kisukuru (Maji Chumvi)
Kupewa viwanja na kuhamishwa
Vitu vyote vya ndani vimeenda na maji
Maisha yangu hayana muelekeo sina hata kitu ndani ya nyuma
Vyote vimeenda na maji
Kabla ya mafuriko: Hakuna jibu | Sasa: (Hakuna jibu) |
« Rudi nyuma kwenye ripoti