Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: ENVIRONMENT AND HEALTH TANZANIA
Time Submitted: January 25, 2012 at 10:24 PM EAT
Kigogo Kati,Manispaa ya kinondoni
Chakula, mavazi kwa jamii na wanafunzi,mitaji ya biashara zao ndogondogo na mahitaji madogomadogo.
yameharibu thamani nyingi za ndani,sakafu imebomoka, nyumba imepata nyufa nyingi,
miundombinu imeharibika,miundombinu hiyo ni kama mifereji ya maji machafu,njia imeharibiwa na mafuriko na kufanya usumbufu mkubwa kwa kwetu sisi wakazi wa kigogo kati.
ubora wa maji kwetu umekuwa na matatizo kidogo ukilinganisha na hali ya awali kabla ya mafuriko,hii inamaana kuwa miundombinu ya mabomba yamezolewa na mafuriko.
Before flooding: nilikuwa natumia dakika kumi kufika eneo letu la ofisi(kazi)Now: natumia zaidi ya dakika 20
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report