Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Time Submitted: 30 Januari, 2012 18:27 EAT
Ngadu
mtaa wangu umeathirika sana hivyo unahitaji mahitaji yote ya kijamii
vitu vyote ndani ya nyumba vimeharibika
maisha yamekuwa magumu sana hatujui jinsi ya kuishi
hakuna maji kabisa katika mtaa wetu
Kabla ya mafuriko: masaa ya kawaida tu Sasa: muda umeongezeka sana
(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti