Respondent: | Journalists Environment and (HIV)Aids Network |
---|---|
Time Submitted: | 30 Januari, 2012 18:27 EAT |
Ngadu
mtaa wangu umeathirika sana hivyo unahitaji mahitaji yote ya kijamii
vitu vyote ndani ya nyumba vimeharibika
maisha yamekuwa magumu sana hatujui jinsi ya kuishi
hakuna maji kabisa katika mtaa wetu
Kabla ya mafuriko: masaa ya kawaida tu | Sasa: muda umeongezeka sana |
(Hakuna jibu)
« Rudi nyuma kwenye ripoti