Respondent: | Envaya Team |
---|---|
Time Submitted: | 16 Mutarama, 2012 at 15:51 EAT |
Bibi Mkazi wa jangwani,Mtambani B
kupewa chakula na kuwekewa mazingira safi
Milango ya nyumba ilivunjika,nyumba kupata ufa na vitu vyake vyote vilienda na maji.hana godolo wala nguo anategemea misaada kutoka kwa watu
Pesa zangu zote zilienda na maji huwa ninaweka kwenye kabati zote zilienda na maji.Nilikuwa nimehifadhi za kujengea kibanda,kwahiyo nimeshindwa hata kupeleka watoto shule.
Vyanzo vya maji ni vizuri tu,maji huwa tunachota msikitini bure tu hamna malipo
Before flooding: (No Response) | Now: (No Response) |
(No Response)
« Back to report