Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Envaya Team
Time Submitted: 16 Januari, 2012 15:42 EAT
Rasma Mkazi wa Jangwani,Mtambani B
ninahitaji serikali ituondolee tope na kuzibua mifereji yote iliyoziba
Makabati yangu yameharibika,sofa,vitanda na nguo vyote vimeharibika na mafuriko
Mafuriko yamenirudisha nyuma sana kimaendeleo,kwanza mimi ni Mama ntilie kwahiyo vyombo vyote vya kupikia vilienda na maji.Maisha yanaanza upya sijui nianzie wapi.Nimeacha shughuri zangu ili kushughurikia hili suala.
Hamna maji kabisa ninapata shida sana kwa sababu mabomba ya maji yamekatwa na wenyewe Tanesco.Ila magonjwa ya milipuko hamna labda kwa baadaye
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu)Sasa: (Hakuna jibu)
(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti