Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Africa Upendo Group
Time Submitted: 14 Januari, 2012 17:48 EAT
Mtaa wa Mwongozo Makuburi
Barabara,maji,fedha,chakula,makazi,malazi na miundo mbinu
vyumba vitatu vimechukuliwa kabisa na mvua na choo pia
barabara hazipitiki pia madaraja hakuna tunaishi kama ndege
mvua imebeba siiting room na vyumba vya kulala na sina hata mwelekeo yaani hapa nasubiri kudra za mwenyezi Mungu kwani mama yangu amefariki hivi karibuni na nimezidi kuchanganyikiwa
hayafai kabisa
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu)Sasa: (Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti