Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | 14 Januari, 2012 17:38 EAT |
Makuburi Mwongozo
Barabara,maji miundombinu fedha,chakula vifaa vya ndani
mafuriko yalizoa chumba changu kizima na vitu vyote mazulia pia yalibebwa
shida zimenijaa wala sijui la kufanya
maji hayafai
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu) | Sasa: (Hakuna jibu) |
« Rudi nyuma kwenye ripoti