Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Africa Upendo Group
Time Submitted: 13 Januari, 2012 21:09 EAT
Mtaa wa Mwongozo Makuburi Kinondoni.(Zaina Muhandiki)
Makazi,chakula maji na miundo mbinu,madaraja na barabara
yaani vitu vyote vimeharibika,magodoro,vyombo,TV,Sina hata mwelekeo yaani tunasaidiwa tu na watu mbalimbali hali ni mbaya
yaani sina hata mwelekeo.nimeganda kabisa kimaisha sina mume mimi ni mjane na maisha yameharibika kabisa
hayafai kabisa
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu)Sasa: (Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti