Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | January 13, 2012 at 8:59 PM EAT |
Mtaa wa Mwongozo Makuburi karibu na TIOT nyumbani kwa Lucas Sekelo mwenye Library ni Robert Okanda
barabara,makazi,maji na miundo mbinu
mafuriko yameharibu shule yangu na Library yangu ambayo ilikuwa na vitabu vingi na computers nne
mafuriko yameniharibia maisha yangu ya kila siku kabisa.
maji hayafai kwa matumizi ya binadamu
Before flooding: (No Response) | Now: (No Response) |
« Back to report