Respondent: | UVIKITWE GROUP |
---|---|
Time Submitted: | January 12, 2012 at 9:47 PM EAT |
Mbezi Tanesco
Visima vya maji safi, na ujenzi wa makazi mapya
Vyombo vya ndani vimechukuliwa na mafuriko, baadhi ya nyumba zimebomoka
Miundombinu yote imeharibika, na hakuna uwezekano wa kuyarudisha bila msaada
Maji yamechafuka, na baadhi ya mabomba ya maji masafi yamesombwa na mafuriko
Before flooding: 3 minutes | Now: 3 hrs |
(No Response)
« Back to report