Respondent: | Envaya Team |
---|---|
Time Submitted: | 16 Januari, 2012 15:23 EAT |
Jangwani,Mtambani B
Serikali itutolee tope mtaani kwetu na mifereji yote ya maji machafu izibuliwe
Makabati/masofa yote yameharibiwa,vitanda pamoja na nguo zote zimeharibiwa
Mafuriko yamenirudisha nyuma sana kimaendeleo,yani kwa maana nyingine naanza upya maisha yangu.Mimi ni Mama ntilie vyombo vyote vya kupikia vimeenda na maji pia nimeacha kazi ili kushugulikia athari hizi za mafuriko.
Hamna maji tangu mafuriko,maji kwenye mabomba yamekatwa kwa hiyo tunapata taabu sana
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu) | Sasa: (Hakuna jibu) |
(Hakuna jibu)
« Rudi nyuma kwenye ripoti