Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Time Submitted: 8 Januari, 2012 14:14 EAT
jangwani minazini
mahali pa kuhamia na huduma zote za kijamii
nyumba kujaa tope,kupotea kwa mtoto na kupotea kwa vitu vyote vya ndani kama sofa,kabati,na vyombo vya kupikia
maisha yamekuwa magumu sana
miundo mbinu ya maji kuchanganyikana na vinyesi
Kabla ya mafuriko: --Sasa: --
(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti