Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: 1 Gashyantare, 2012 at 15:55 EAT
Mission msikitini{Mbagala}
kujengwe mitaro na mifereji ambayo itawezesha au itakayoelekeza maji kupita kwa urahisi kuelekea mto kizinga ,
biashara ya mkaa wenye thamani ya milion moja na laki mbili {1,200,000}ulipotea, pesa za mauzo ya siku mbili laki tatu {300,000}zilipotea {mfanya biashara wa mkaa eneo hili}
yamenirudisha nyuma kiuchumi na kimaendeleo, kunisababishia madeni kwani mtaji wangu wa biashara ni mkopo wa benki ya akiba na watu binafsi.
eneo hili kwa sasa halina maji kutokana na mafuriko tunachota au kununua kutoka eneo la kizuiani ambalo liko mbali kidogo na eneo hili
Before flooding: saa1hadi 2 inategemea hali ya usafiriNow: 1 hadi 2 kutegemea hali ya usafiri
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report