Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: February 1, 2012 at 12:26 PM EAT
keko mwanga B
vyandarua, mitaro isafishwe kwa dawa ili kuua wadudu , tuboreshewe mazingira kwa kujengewa mitaro ,makaravat yajengwe kwenye mfereji mkubwa, nyumba zetu zilizobomoka zikarabatiwe,
Mali zangu za ndani zilipotea,na kuharibika kama tv redio, friji, komputa, cherehani 3, vyombo vya jikoni, vitanda ,magodoro,nguo,vifaa vya shule vya watoto 4 nguo za wateja za sikukuu ya krismas na mwaka mpya 2012
magonjwa ya mlipuko, kuharibu ofisi yangu kwani vitendea kazi {vyerahani } kupotea, watoto kukosa vifaa muhimu vya shule,kulala chini, uchafu katika mazingira ya nyumba yangu,uchumi kuyumba,madeni kwa sababu ya nguo za wateja
siku zote natumia maji ya bomba kutoka keko juu ila kwa watumiaji wa maji ya visima vyanzo vyao vimeathiriwa na vyoo vilivyo bomoka
Before flooding: dakika 3Now: sina kazi
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report