Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F)
Time Submitted: 31 Januari, 2012 08:58 EAT
Tabata Kisukuru
Mahitaji ya kijamii
Vingi vimeondoka na maji
Wanangu bado hawajaanza shule
Maji yanauzwa kwa bei kubwa
Kabla ya mafuriko: Sina kaziSasa: (Hakuna jibu)
Madaftari ya watoto yakiwa yameharibika na wengine wakiwa wanalalamika vyeti vyao vya Taaluma vimeenda na maji
Baadhi ya vitu vikiwa vimehabika baada ya mafuriko
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti