Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F)
Time Submitted: 31 Mutarama, 2012 at 08:45 EAT
Tabata Kisukuru
Nyumba zetu kufanyiwa ukarabati
Nyumba yangu imehabika sana
Maisha yangu ya mekosa muelekeo baada tu ya mafuriko
Hakuna na yaliyopo sio safi na salama
Before flooding: 20Now: 70
Mzee huyu akieleza timu ya Envaya na N.V.R.F wakiwa wanapewa Maelezo juu ya Mafuriko na uharibifu wake
« Previous responseNext response »

« Back to report