Log in
Dira Group

Dira Group

Manispaa ya Morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Dira Theatre wakitumbuiza katika viwanja vya ikulu ndogo Morogoro Mjini, katika ziara ya waziri mkuu wa Tanzania.

large.jpg

Dira Theatre wakiwa katika pozi baada ya kuburudisha katika siku ya wakulima kitaifa 8-8. Morogoro Mjini

large.jpg

Dira Theatre wakicheza ngoma ya kikabila katika viwanja vya 8-8 katika ufunguzi wa maonesho ya siku ya wakulima kitaifa.

large.jpg

Kikundi Dira Theatre wakipiga ngoma za kuburudisha katika ufunguzi wa siku ya wakulima kitaifa 8-8, Morogoro Mjini

large.jpg

Wasanii wa Dira Theatre wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuburudisha katika funguzi wa siku ya wakulima kitafifa 8-8, MOrogoro Mjini

large.jpg

Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro

large.jpg

Maandalizi ya mwisho ya kujiandaa na uzinduzi wa mbio za Mwenge Uwanja wa Jamhuri Morogoro

large.jpg

Dira Theatre wakiwa katika maandalizi ya Uzinduzi wa mbio za Mwenge Morogoro

large.jpg

Meneja wa Dira akieleza jambo kwa mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji (hawapo pichani) katika zoezi la ufuatiliaji wa shughuli za mradi wa sera na sheria za ardhi zilizoendeshwa na Dira.

large.jpg

Meneja wa Dira Ndg. Erasmo Tullo akizungumnza na baadhi ya wanachama wa Dira. Hii ni katika Ofisi ya Dira iliyopo kata ya Mafiga, Morogoro Manispaa.