Envaya

Dhahabu Arts Group (DAG)

Dar es Salaam, Tanzania

Kuiwezesha jamii ya kitanzania katika njia shirikishi kutambua matatizo waliyonayo na kupanga mikakati ya kukabiliana nayo na kuitekeleza kulingana na rasilimali zilizopo.

Lengo ni kuijenga jamii bora ya kitanzania kiafya, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni, katika utawala bora, jinsia pamoja na mazingira kulingana na maleongo ya milenia na sera za kitaifa.

Latest Updates
Dhahabu Arts Group (DAG) updated its home page.
January 16, 2011
Dhahabu Arts Group (DAG) added a News update.
January 14, 2011
Dhahabu Arts Group (DAG) updated its Team page.
Emma Julius Medda - Mwenyekiti – Hussein Wamaywa - Katibu Mtendaji – Frank John Mariki - Mweka Hazina – Bob Roberts Marshal - Mkuu wa Idara ya Filamu & Mahusiano
January 14, 2011
Dhahabu Arts Group (DAG) created a History page.
Dhahabu Arts Group ni Shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2002 na baadae kusajiliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na... Read more
January 14, 2011
Dhahabu Arts Group (DAG) added 3 News updates.
Dhahabu Arts Group ni taasisi ya kijamii isiyolenga kupata faida binafsi yenye lengo la kuona siku moja jamii ya kitanzania inakuwa bora katika sekta za Afya, Elimu, Uchumi na Utamaduni. – Ili kutimiza malengo haya, Dhahabu hufanya kazi na wabia mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kwa sasa inafanya kazi zaidi na The Foundation for... Read more
January 5, 2011
Dhahabu Arts Group (DAG) created a Team page.
Emma Julius Medda - Mwenyekiti – Hussein Wamaywa - Katibu Mtendaji – Frank John Mariki - Mweka Hazina – Bob Roberts Marshal - Mkuu wa Idara ya Filamu & Mahusiano
January 5, 2011
Sectors
Location
Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations