Fungua
ZAIRE KATI  SANAA CLUB

ZAIRE KATI SANAA CLUB

MIRERANI, Tanzania

Kuona kuwa asasi inakuwa ni kiongozi katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kutumia fursa fursa zilizopo ,na kuwa sanaa inakuwa ni chombo cha uchochezi na mabadiliko endelevu ya kimaendeleo kwa kutumia mbinu shirikishi.

Mabadiliko Mapya
ZAIRE KATI SANAA CLUB imejiunga na Envaya.
29 Desemba, 2011
Sekta
Sehemu
MIRERANI, Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu