Ndugu Wana Envaya na wanachama,
Nimefurahia huduma hii ya Envaya, nimeanza kujaza na kuweka nyaraka zote muhimu za Asasi ya YODA. Nitakuwa nina update kila mara nitakapo pata habari mpya.
Maoni (1)