Fungua
Women`s Infinitive Natural Child Enrichment

Women`s Infinitive Natural Child Enrichment

Geita, Tanzania

Kuwaellimisha na kuwatia hamasa wanawake na jamii kwa jumla waweze kuwa na moyo wa kupenda kulinda, kutetea na kuendeleza mtoto wa kike sambamba na mtoto wa kiume na kuondokana na mila na desturi potofu zinazorudisha nyuma maendeleo ya mwanamke na mtoto.

Mabadiliko Mapya
Women`s Infinitive Natural Child Enrichment imeumba ukurasa wa Timu.
1. Emma David Busanji, Mkurugenzi mkuu +255755417162. – 2. Sophia Ivo Busabusa, Mkurugenzi wa utawala +255756821680. – 3. Bahati Ahmed, Mkurugenzi wa fedha +255759864646.
1 Februari, 2013
Women`s Infinitive Natural Child Enrichment imejiunga na Envaya.
1 Februari, 2013
Sekta
Sehemu